Alikiba, Diamond, Lulu na Millard ayo watajwa 100 bora ya Vijana Afrika


Tuzo za VIJANA 100 WA AFRIKA wenye ushawishi mkubwa kwa jamii kwa mwaka 2017 zimeiachia orodha ya vijana wa mataifa mbalimbali waliochaguliwa kuwania ambapo orodha inaendelea kutajwa na mpaka sasa Watanzania watano wametajwa.
Watanzania hao ni Waimbaji Alikiba, Diamond Platnumz, Mwanamitindo Flaviana Matata na Mwigizaji Lulu na Millard Ayo wengine ambao wametajwa tayari wanatokea kwenye mataifa ya South Africa, Libya, Ghana na Nigeria.
 
 
 

Comments

Popular posts from this blog

Tembo wapiga kambi kata ya Mkoka, wamjeruhi mtu na kula mzao mashambani

Sugu awashangaa wanachama wa CCM

Shamsa Ford ampa somo Shilole kuhusu ndoa