Gwiji wa Barcelona ashinda bahati nasibu Qatar

 

Kiungo Xavi Hernandez ameshinda bahati nasibu ya benki nchini Qatar.

Kwa sasa, Xavi anakipiga katika timu maarufu nchini Qatar ya Al Saad.

Xavi ambaye ni gwiji la Barcelona anayekipiga nchini humo, alishinda  euro 229,000 baada ya kufungua akaunti katika benki ya Doha.

Benki hiyo ilikuwa ikiendesha bahati nasibu kwa wateja wake wote waliofungua akaunti.

Comments

Popular posts from this blog

Ruby azicharukia vikali media, picha linaanzia kwa Nandy

Abiria waanzisha vurugu uwanja wa ndege

Mawasiliano Yangu na Roma Sio mazuri- Moni Centrozone