Hii Hapa Picha Iliyomsababisha Young Dee Kuomba Radhi Mashabiki
nasemekana Rapa Young Dee na Amber Lulu wanajipanga kutoa ngoma yao
pamoja baada ya picha ya kimahaba yenye utata mwingi kuachiwa leo
mitandaoni.
Picha hii inamuonyesha Young Dee akiwa anashanga makalio ya Amber Lulu, Ni miongoni mwa picha zitakazotoka katika photoShoot ya kazi yao mpya.
Picha hii inamuonyesha Young Dee akiwa anashanga makalio ya Amber Lulu, Ni miongoni mwa picha zitakazotoka katika photoShoot ya kazi yao mpya.
Comments
Post a Comment