Mbunge wa Tunduma atakiwa kukamatwa
Kamati
ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Momba mkoani Songwe imeagiza kukamatwa
mara moja kwa Mbunge wa Jimbo la Tunduma kwa tiketi ya Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh.Frank Mwakajoka kwa tuhuma za
kuwadhihaki wateule wa Rais.
Kamati ya Ulinzi na usalama wilayani ya Momba imeagiza kiongozi huyo kukamatwa baada ya kumdhihaki Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Juma Said Irando.

Comments
Post a Comment