Mzee wa Kimasai mwenye Wake 8 na Watoto 70 akawajengea na shule kabisa ili wasipate tabu


Umeshawahi kujiuliza kama itatokea siku moja utakua na Watoto wengi kiasi kwamba itakubidi uwajengee Shule yao wenyewe sababu wako wengi na haiwezekani kuwapeleka kwenye shule nyingine sababu ziko mbali? hii imetokea Arusha.
Mzee Laiboni ana umri zaidi ya miaka 100 ambapo katika maisha yake, idadi ya Wake aliwaoa ni 8 aliamua kuanzisha shule yake kwa ajili ya Watoto wake na Wajukuu baada ya mtoto mmoja kugongwa na gari siku moja akienda shule hivyo akaamua kujenga shule karibu na nyumbani.

Comments

Popular posts from this blog

Tembo wapiga kambi kata ya Mkoka, wamjeruhi mtu na kula mzao mashambani

Sugu awashangaa wanachama wa CCM

Shamsa Ford ampa somo Shilole kuhusu ndoa