Vita ya diamond na Ally kiba kuhamia tena AFRIMA
Ni taarifa nzuri kwa muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika November 10-12, 2017.
Kuna jumla ya wanamuziki 33 waliotajwa kuwania tuzo mbalimbali lakini wamegawanywa katika Kanda Tano ambazo ni Afrika ya Kati, Afrika Mashariki, Afrika Kusini, Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi huku pia kukiwa na tuzo zinazojumuisha Afrika nzima.
Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Nandy, Feza, Msafiri Zawose na Topher Jaxx.
Best Female Artiste Eastern Africa
Artiste Track Country
Chess Nthussi Give it to you Kenya
Feza Walete Tanzania
Juliana Kanyomozi I am Still Here Uganda
Lady Jaydee Sawa Na Wao Tanzania
Nandy One Day Tanzania
Vanessa Mdee Cash Madame Tanzania
Victoria Kimani Giving You ft Sarkodie Kenya
Wayna Wondwossen You are not alone Ethiopia
Best Male Artist, Eastern Africa
Artiste Track Country
Alikiba Aje ft M.I Tanzania
Diamond Platinumz Eneka Tanzania
Eddy Kenzo Shauri Yako Uganda
Henok & Mehari Brothers Fikir Yishala Ethopia
Kibrom Birhane Eskista ft Nassmbu Barasa Ethiopia
Mura K.E Excuse my Language Kenya
Octopizzo TBT Kenya
Sinishaw Legesse Selam Ethopia Ethiopia
Qritiqual Malika Kenya
Best Artist or Group in African Contemporary.
Artiste Track Country
Adekunle Gold My Life Nigeria
Alikiba Aje (Ft M.I.) Tanzania
Anselmo Ralph Por Favor DJ Angola
Busiswa Ingqondo South Africa
Ferre Gola Kipelekiese DRC
Oumou Sangare Yere Faga ft Tony Allen Mali
P-Square Bank Alert Nigeria
Soul Bangs Fare Bombo Mbai Guinea
Wande Coal Iskaba ft Dj Tunez Nigeria
Werrason Diemba DRC
Best African Collaboration.
Artiste Track Country
Alikiba Aje (Ft M.I.) Tanzania (Nigeria)
Becca Na Wash (ft Patoranking) Ghana (Nigeria)
C4 Pedro Love Again (Ft Sauti Sol) Angola (Kenya)
Davido Coolest Kid in Africa (ft Nasty C) Nigeria (South Africa)
Fuse ODG Diary (Ft Tiwa Savage) Ghana (Nigeria)
Jah Prayzah Watora Mari (ft Diamond Platnumz) Zimbabwe (Tanzania)
Locko Supporter (ft Mr Leo) Cameroon (Cameroon)
Oumou Sangare Yere Faga (Ft Tony Allen) Mali (Nigeria)
R2Bees Tonight (ft Wizkid) Ghana (Nigeria)
Zeynab Noctambule (ft Shado Chris) Benin (Cote d’Ivoire)
Best Artist or Group in African RnB & Soul.
Artiste Track Country
Ali Kiba Aje (Ft M.I.) Tanzania
Anselmo Ralph Ensina-me a Amar Angola
C4 Pedro Love Again (Ft Sauti Sol) Angola
Degg J Force 3 Akolon Guinea
Diamond Platnumz Marry You (Ft Neyo) Tanzania
Mimie Dance Fi You Cameroon
Nozipho Ang’kakaze Ngizizwe Nje South Africa
Topher Jaxx I Want You Tanzania
Victoria Kimani Giving You (ft Sakordie) Kenya
Best Artist in African Pop.
Artiste Track Country
Daphne Calee Cameroon
Diamond Platnumz Eneka Tanzania
Locko Supporter ft Mr Leo Cameroon
Mimie Dance Fi You Cameroon
Tiwa Savage All Over Nigeria
Toofan Tere Tere Togo
Wizkid Come Closer (Ft Drake) Nigeria
Yemi Alade Marry Me Nigeria
Best Artist or Group in African Traditional.
Artiste Track Country
Bombino Akhar Zaman Niger
Gani Ndani Biiwa Yannou Benin
Hamelmal Abate Harar Ethiopia
Kibrom Birhane Eskista (ft Nassmbu Barasa) Ethiopia
Msafiri Zawose Asili Yangu Tanzania
Nobuntu Woza Ngane Zimbabwe
Reniss Mamumuh Cameroon
Zoro Gbo Gan Gbom (ft Flavour) Nigeria
African Fans’ Favorite.
Artiste Track Country
Darassa Muziki (ft Ben Pol) Tanzania
Donald Raindrops (ft Tiwa Savage) South Africa
Ebony Poison (Ft Gatdoe) Ghana
Kandia Kora Retirer Guinea
Nonso Amadi Tonight Nigeria
Nyashinki Aminia Kenya
Olamide Pepper Dem Gang Nigeria
The Dogg Shuukifa Kwii Namibia
Young Paris Best of Me (Ft Ben Bronfman) DRC
Comments
Post a Comment