Kubenea aitaka Serikali kulifungulia gazeti la Mwana Halisi ndani siku mbili


WahaririI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo linaandika habari za uongo, wamedai kuwa wao hawajawahi kuandika uongo na badala yake huandika habari kwa weledi na ukweli.

Hayo wameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na wanahabari baada ya gazeti lao kufungiwa kwa muda wa miezi 24 (miaka miwili).

Aidha mmiliki wa Gazeti hilo, Saed Kubenea amesema kampuni yake Hali Halisi Publishers, imeiandikia barua Wizara ya Habari wakiitaka serikali kulifungulia Gazeti lao la MwanaHalisi ndani ya siku mbili (jana na leo), vinginevyo wataenda mahakamani kuidai serikali fidia ya Tsh. 141 Milioni kwa kila toleo.

Comments

Popular posts from this blog

Ruby azicharukia vikali media, picha linaanzia kwa Nandy

Abiria waanzisha vurugu uwanja wa ndege

Mawasiliano Yangu na Roma Sio mazuri- Moni Centrozone