Rick Ross amempost tena Diamond Platnumz
Diamond ni balozi wa kinywaji hicho cha Belere na yeye amekua Staa wa
pili kutoka Afrika kupostiwa na Rick Ross baada ya siku kadhaa
zilizopita mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati
hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood.Ikiwa zimepita siku nane toka rapa maarufu wa Marekani Rick Ross ampost
Staa wa Bongp Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram kwa
mara ya kwanza akiwa amebeba chupa za kinywaji cha Belere ikiwa ni
ishara ya kukinadi kinywaji hicho, usiku wa September 17 amempost tena.
Comments
Post a Comment