Wachina wasepa na ngoma za Mrisho Mpoto

Ngoma ambazo zilikuwa zinatumiwa na msanii wa muziki wa asili, Mrisho
Mpoto katika maonyesha ya Utalii Duniani yaliyofanyikia nchini China
zimegombaniwa na baadhi ya wachina waliojitokeza katika maonyesho hayo.
Mpoto amesema ngoma hizo ziliwavutia wadau wengi ambao walijitokeza
katika maonyesha hayo kutokana na namna ambavyo zilikuwa zinapigwa.
Pia muimbaji huyo katika maonyesho hayo alipata fursa ya kutoa elimu kwa wachina hao kuhusu utalii wa ndani.
Comments
Post a Comment