Madili ya Zari Yamkosesha Usingizi Ester Kiama

Madili ya Zari Yamkosesha Usingizi Ester Kiama
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ester Kiama amesema kuwa, kila akimtazama Mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ a napolamba madili ya matangazo huwa anakosa usingizi kwa kujiuliza yeye anapataje na siyo Mbongo?
Ester aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, madili makubwa anayoyapata Zari yanatakiwa kuwafanya mastaa wa Bongo wajifunze na wajiulize maswali mengi ya kwa nini yeye tu na siyo wao!
“Kiukweli fursa anazopata Zari, kuna wakati mwingine zinanichanganya sana kwa sababu ninajiuliza mbona sisi hatuwezi?” alisema Ester.

Comments

Popular posts from this blog

Tembo wapiga kambi kata ya Mkoka, wamjeruhi mtu na kula mzao mashambani

Sugu awashangaa wanachama wa CCM

Shamsa Ford ampa somo Shilole kuhusu ndoa