
PGG imenusurika kupata kichapo cha kwanza katika msimu buu baada ya
Edson Cavani kusawazisha katika dakika ya mwisho ya mchezo, Katika
mchezo huo kikubwa ni pale ambapo mchezaji ghali zaidi duniani Neymar jr
alipo onyeshwa kadi nyekundu baada ya kucheza rafu mara mbili tofauti.
Kitendo hiko kimewafanya wachambuzi wengi wa soka kumkosoa Neymar kwa
kusema kutokana na nidhamu ya Neymar kuwa mbovu na matukio ya utovu wa
nidhamu kuwepo mara kwa mara awezi kulinganishwa na Lionel Messi ambaye
hana tabia hizo wala auwezi kumbuka mara ya mwisho ni lini kupewa kadi
nyekundu.

Kitendo hiko kimewafanya wachambuzi wengi wa soka kumkosoa Neymar kwa
kusema kutokana na nidhamu ya Neymar kuwa mbovu na matukio ya utovu wa
nidhamu kuwepo mara kwa mara awezi kulinganishwa na Lionel Messi ambaye
hana tabia hizo wala auwezi kumbuka mara ya mwisho ni lini kupewa kadi
nyekundu
Refa Ruddy
Buquet akimuonyesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Paris
Saint-Germain, Neymar Junior dakika ya 87 baada ya kumuonyesha kadi ya
pili njano dakika mbili tu baada ya kumuonyesha kadi ya kwanza ya njano
katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Velodrome
mjini Marseille. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya PSG yakifungwa
na Neymar dakika ya 33 na Edinson Cavani dakika ya 90 na ushei, wakati
ya Marseille yalifungwa na Luiz Gustavo dakika ya 16 na Florian Thauvin
dakika ya 78.
Marseille (4-2-3-1):
Mandanda; Sakai, Rami, Rolando, Amavi; Anguissa, Luiz Gustavo; Thauvin
(Sarr 83), Payet (Sanson 76), Ocampos; Mitroglou (Njie 66)
Unused subs: Kamara, Lopez, Pele, Germain
Goals: Luiz Gustavo 16, Thauvin 78
Bookings: Mitroglou 45, Sakai 52, Ocampos 87, Sanson 90
PSG (4-3-3):
Areola; Meunier, Marquinhos, Thiago Silva, Kurzawa; Verratti, Motta
(Draxler 70), Rabiot; Mbappe (Di Maria 80), Cavani, Neymar
Unused subs: Trapp, Kimpembe, Berchiche, Lo Celso, Pastore
Goals: Neymar 33, Cavani 90
Bookings: Mbappe 54, Neymar 85
Red card: Neymar 87


Comments
Post a Comment