Picha: Mtoto wa Dj Khaled, Asahd alivyosherehekea birthday yake

Jumamosi hii mtoto wa rapper Dj Khaled na mkewe Nicole Tuck, Asahd amesherehekea kutimiza mwaka mmoja tangu alipozaliwa. Kubwa zaidi ni sherehe la kufa mtu ambayo amefanyiwa mtoto huyo na wazazi wake.
 
Katika sherehe hiyo iliyofanyika kwenye klabu ya usiku ya Miami’s LIV, rapper P Diddy alikuwa ndio mtangazaji huku ikihudhuriwa na baadhi ya ndugu na watu wa karibu wa familia hiyo. Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.
P Diddy akiongea na Asahd katika sherehe hiyo
 

Comments

Popular posts from this blog

Zitto Kabwe amjia juu Spika Job Ndugai

Diamondi Azidi Kuwateka Mastaa Wakubwa Kutoka Marekani

Sugu awashangaa wanachama wa CCM