Kasuku wanaotafuna nyaya za mtandao Australia
Mtandao wa thamani ya mabilioni ya
dola nchini Australia uko kwenye hatari kutokana na uharibifu
unaosababishwa na ndege aia ya kasuku.
Kampuni ya mtandao ya taifa (NBN) inasema kuwa imetumia maelfu ya dola kukarabati nyaya zilizotafunwa na kasuku.Mtandao nchini Austalia mara nyingi imekosolewa kwa kasi ya chini na kuorodheshwa nanba 50 kote duniani
NBN inakadiria kuwa huenda gharama hiyo ikapanga wakati uchunguzi zaidi ukifanywa.
Inaripotiwa kuwa rangi ya nyaya hizo huenda zimevutia kasuku kuzitafuta.
Comments
Post a Comment