Ally kiba ashukuru mashabiki wake
Msanii wa bongo fleva Ally kiba au King kiba wanavyo penda kumuita mashabiki zake ametumia ukurasa wake wa instagram kuwashukuru mashabiki zake baada ya nyimbo yake kufikisha watazamaji milioni moja ndani ya siku mbili tazama video hiyo hapo chini.........
Comments
Post a Comment