Christina Shusho baada ya ‘Seduce Me’ ya Alikiba “Ukiwa Mfalme huchagui dini…”


Baada ya siku mbili kupita tangu msanii mkongwe wa bongo fleva "King kiba" kutoa ngoma mpya inayo itwa Seduce me.Msanii wa muziki wa injili Christina Shusho ametumia ukurasa wake wa instagra kusifia wimbo huo ambao unapendwa sana na wapenzi wa Ally Kiba.
tazama posti hiyo........
Comments
Post a Comment