Hakuna Wahudumu Petrol Station, mafuta unajiwekea mwenyewe
Kwa mtu anaeishi Marekani au kwenye nchi za Ulaya hili ni jambo la kawaida kabisa lakini kwa tulio Afrika hiki ni kitu kigeni kwetu maana kwenye vituo vyote vya mafuta huwa tunakuta Muhudumu ndio anatuwekea mafuta kwenye magari. imaniabel blog iinakukutanisha na hii kutokea Marekani ambapo 10mpa anatuonyesha jinsi ambavyo wananunua mafuta yao kwa kulipia kwa kadi lakini pia kuna aina 3 za mafuta kulingana na ubora

Comments
Post a Comment