Hii video mpya ya Aslay ‘Pusha’ Itazame hapa
Msanii wa bongo fleva Aslay Isihaka ametuletea ngoma yake mpya inayoitwa "Pusha.Msanii huyo ambayo awali alikua katika kundi la yamoto band ambayo wametengana kwa sasa ameonekana kua moto baada ya kuachia ngoma kali kila kukicha.
Comments
Post a Comment