matonya awaomba basata wamsaidie kupata haki zake
Mwanamziki nguli wa bongo fleva maaarufu kama Matonya ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba basata kuchukua hatua za kisheria kwa kundi la Wcb baada ya kukopi nyimbo yake.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi linalo ongozwa na msanii maarufu nchini Diamond kuachia ngoma yao jana inayo itwa "Zilipendwa.Tazama chini post yake.......
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi linalo ongozwa na msanii maarufu nchini Diamond kuachia ngoma yao jana inayo itwa "Zilipendwa.Tazama chini post yake.......
Comments
Post a Comment