Wolper ampiga madongo Amber Ruth


Mkali wa bongo muvi Jackline wolper ameamua kuweka wazi yale tusio yajua kuhusu video vixen Amber Ruth ambaye amepata umaarufu mkubwa kwa kupiga picha za nusu utupu na kuziweka katika mitandao ya kijamii.Wolper amesema "Amber Ruth asipo angalia ata ishia jera" msanii huyo ameyasema hayo alipokua ana hojiwa na Big chawa ndani ya planet bongo kipindi kinacho rushwa na East African Redio.



Wolper anazidi kutupasha kwamba kuna watu wanampa taarifa jinsi Amber anavoishi mpaka nyumba ili aweze kumuanika vizuri mtandaoni na jinsi anavoishi maisha ya kudanganya.
baada ya kuibuka kwa mgogoro baina yao pale alipomuonya kuhusu picha za utupu anazopiga, akimwambia anadhalilisha wanawake.
Wolper ameendelea kufunguka na kusema Amber Ruth ana mtoto mkubwa ana karibia  miaka mitano na hataki watu wajue badala yake kamwambia awe ana muita wifi.                                                                                                                                                                                   

Comments

Popular posts from this blog

Zitto Kabwe amjia juu Spika Job Ndugai

Diamondi Azidi Kuwateka Mastaa Wakubwa Kutoka Marekani

MATOKEO YA PSG DHIDI YA MARSEILLE YAMELETA TOFAUTI YA MESSI NA NEYMAR