Kimbunga Irma chakaribia Florida

Kimbunga Irma, kinatarajiwa kugonga maeneo hayo, baadaye leo Jumapili, Viwango vya maji tayari vimeanza kuogezeka katika maeneo ya pwani ya Florida, eneo ambalo linatarajia kimbunga kikubwa kuwasili.
Taharuki na hatma ya baadaye ya mji wa Tampa, ambao unakabiliana ana kwa ana na njia inakopitia kimbunga hicho, haijulikani.
Comments
Post a Comment