Rais amtembelea Meja mstaafu aliyepigwa risasi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi zilizotolewa kwenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Matukio ya watu kushambuliwa kwa risasi nchini yanazidi kuongezeka hili limekuwa ni tukio la pili kwa mwezi huu Septemba baada ya shambulizi la kwanza lililompata Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma, lakini pia Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliwahi kutishiwa bastola na watu wasiojulikana.
 

Comments

Popular posts from this blog

Zitto Kabwe amjia juu Spika Job Ndugai

Diamondi Azidi Kuwateka Mastaa Wakubwa Kutoka Marekani

MATOKEO YA PSG DHIDI YA MARSEILLE YAMELETA TOFAUTI YA MESSI NA NEYMAR