Madee Afunguka Kuhusu Kutajwa Tajwa kwa Diamond

Madee Afunguka  Kuhusu Kutajwa Tajwa kwa Diamond
Kutokea Manzese ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘Sema’ aliomshirikisha msanii Nandy, Madee amelezea kile kilichokuwa kinaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu picha za mastaa za zamani walizokuwa na watu wanaodaiwa kuwa mapenzini.

Baadhi ya mastaa ambao picha zao zilisambaa kwenye mitandao na kusababisha sintofahamu kwa mashabiki wao…sasa Madee kasema hawezi kufanya kitu kama hicho akisema anaweza kupost picha ya mwanamke aliyemchumbia tayari kwa Kumuoa.

Mabli na hayo, Madee kazungumzia ishu ya staa mwingine Diamond Platnumz akisema ni staa, na vile anavyosemwa na kutajwa mara kwa mara wanamuongezea safari na kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo anazidi kufanya vizuri na kutojali nini kinaendelea kwenye mitandao.

Comments

Popular posts from this blog

Zitto Kabwe amjia juu Spika Job Ndugai

Diamondi Azidi Kuwateka Mastaa Wakubwa Kutoka Marekani

MATOKEO YA PSG DHIDI YA MARSEILLE YAMELETA TOFAUTI YA MESSI NA NEYMAR