Rais Magufuli aongelea Elimu ya Makonda

Akiwa kwenye Mkutano wa 33 wa Jumuiya Ya Tawala za Mitaa (ALAT) ambao uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam amenukuliwa akisema "Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alipojaribu kuzungumza kidogo vita ikawa kubwa kwake, Wanasema hajasoma hajafanya nini, mimi hata kama hajui A ila anakamata madawa kwangu ni msomi mzuri".

Comments

Popular posts from this blog

Zitto Kabwe amjia juu Spika Job Ndugai

Diamondi Azidi Kuwateka Mastaa Wakubwa Kutoka Marekani

MATOKEO YA PSG DHIDI YA MARSEILLE YAMELETA TOFAUTI YA MESSI NA NEYMAR